Waebrania 11:29
Kwa imani, watu walivuka Bahari ya Shamu + 11:29 Yaani Bahari ya Mafunjo. kama vile juu ya nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo, walitoswa ndani ya maji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba.
Cross References
Exodus 14:13Mose akawajibu Waisraeli, “Msiogope. Simameni imara, nanyi mtauona wokovu Bwana atakaowapatia leo. Hao Wamisri mnaowaona leo kamwe hamtawaona tena.
Nehemiah 9:11Ukagawa bahari mbele yao, ili waweze kupita katikati yake penye nchi kavu, lakini uliwatupa Wamisri waliowafuatilia katika vilindi, kama jiwe kwenye maji mengi.
Psalms 78:13Aliigawanya bahari akawapitisha, 2 alifanya maji yasimame imara kama ukuta. 1
Psalms 114:1Wakati Israeli walipotoka Misri, 2 nyumba ya Yakobo kutoka kwa watu wa lugha ngeni, 1
Isaiah 11:15Bwana atakausha 2 ghuba ya bahari ya Misri; 1 kwa upepo mkavu ataupeleka mkono wake 2 juu ya Mto Frati. 1 Ataugawanya katika vijito saba 2 ili watu waweze kuuvuka wakiwa wamevaa viatu. 1
Isaiah 63:11Ndipo watu wake wakazikumbuka siku zilizopita, 2 siku za Mose na watu wake: 1 yuko wapi yeye aliyewaleta kupitia katikati ya bahari, 2 pamoja na wachungaji wa kundi lake? 1 Yuko wapi yule aliyeweka 2 Roho wake Mtakatifu katikati yao, 1