bible.software › Waebrania › Waebrania 11 › Waebrania 11:30
Waebrania 11:30
Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
By faith the walls of Jericho fell down, after they were compassed about seven days.
In Context
29Kwa imani, watu walivuka Bahari ya Shamu + 11:29 Yaani Bahari ya Mafunjo. kama vile juu ya nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo, walitoswa ndani ya maji.
31Kwa imani, Rahabu, yule kahaba, hakuangamizwa pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa kuwa aliwakaribisha wale wapelelezi.
Read all of Waebrania 11
Cross References
Joshua 6:3Zunguka mji mara moja pamoja na watu wote wenye silaha. Fanya hivi kwa siku sita.
This Verse In Other Editions
Study Waebrania 11:30