Hebrews 12:13
Sawazisheni mapito ya miguu yenu, ili kitu kilicho kiwete kisidhoofishwe bali kiponywe. 1 Onyo Dhidi Ya Kuikataa Neema Ya Mungu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Kwa hiyo, itieni nguvu mikono yenu iliyo dhaifu na magoti yenu yaliyolegea.
Cross References
Proverbs 4:26Sawazisha mapito ya miguu yako 2 na njia zako zote ziwe zimethibitika. 1
Isaiah 35:6Ndipo kilema atarukaruka kama kulungu, 2 nao ulimi wa aliye bubu utapaza sauti kwa shangwe. 1 Maji yatatiririka kwa kasi katika nyika, 2 na vijito katika jangwa. 1
Isaiah 40:3Sauti ya mtu aliaye: 2 “Itengenezeni jangwani njia ya Bwana, 1 nyoosheni njia kuu nyikani 2 kwa ajili ya Mungu wetu. 1
Isaiah 58:12Watu wako watajenga tena magofu ya zamani 2 na kuinua misingi ya kale; 1 utaitwa Mwenye Kukarabati Kuta Zilizobomoka, 2 Mwenye Kurejeza Barabara za Makao. 1
Jeremiah 31:8Tazama, nitawaleta kutoka nchi ya kaskazini 2 na kuwakusanya kutoka miisho ya dunia. 1 Miongoni mwao watakuwepo vipofu na viwete, 2 mama wajawazito na wenye utungu wa kuzaa. 2 Umati mkubwa wa watu utarudi. 1
Galatians 6:1Ndugu zangu, ikiwa mtu ameghafilika akatenda dhambi, basi ninyi mlio wa rohoni, mrejesheni upya mtu huyo kwa roho ya upole. Lakini jihadharini, ili ninyi wenyewe msije mkajaribiwa.