Matthew 7:23
Ndipo nitakapowaambia wazi, ‘Sikuwajua kamwe. Ondokeni kwangu, ninyi watenda maovu!’ 1 Msikiaji Na Mtendaji (Luka 6:47-49)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And then will I profess unto them, I never knew you: depart from me, ye that work iniquity.
In Context
Cross References
Psalms 5:5Wenye kiburi hawawezi kusimama mbele yako, 2 unawachukia wote watendao mabaya. 1
Matthew 25:12“Lakini yeye bwana arusi akawajibu, ‘Amin, amin nawaambia, siwajui ninyi!’
Luke 13:25Wakati mwenye nyumba atakapoondoka na kufunga mlango, mtasimama nje mkibisha mlango na kusema, ‘Bwana! Tufungulie mlango!’ “Lakini yeye atawajibu, ‘Siwajui ninyi, wala mtokako.’
John 10:14“Mimi ndimi mchungaji mwema. Ninawajua kondoo wangu nao kondoo wangu wananijua.
2 Timothy 2:19Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, ukiwa na muhuri wenye maandishi haya: “Bwana anawajua walio wake”; tena, “Kila alitajaye jina la Bwana, na auache uovu.”