Waebrania 12:29
kwa kuwa “Mungu wetu ni moto ulao.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For our God is a consuming fire.
In Context
Cross References
Exodus 24:17Kwa Waisraeli utukufu wa Bwana ulionekana kama moto uteketezao juu ya mlima.
Numbers 16:35Moto ukaja kutoka kwa Bwana, ukawateketeza wale watu 250 waliokuwa wakifukiza uvumba.
Deuteronomy 9:3Kuweni na hakika leo kwamba Bwana Mungu wenu ndiye atakayetangulia kuvuka mbele yenu kama moto uteketezao. Atawaangamiza; atawatiisha mbele yenu. Nanyi mtawafukuza na kuwaangamiza mara moja, kama Bwana alivyowaahidi.
Psalms 97:3Moto hutangulia mbele zake 2 na huteketeza adui zake pande zote. 1
Daniel 7:9“Nilipoendelea kutazama, 1 “viti vya enzi vikawekwa, 2 naye Mzee wa Siku akaketi. 1 Mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji; 2 nywele za kichwa chake zilikuwa nyeupe kama sufu. 1 Kiti chake cha enzi kilikuwa kinawaka kwa miali ya moto, 2 nayo magurudumu yake yote yalikuwa yanawaka moto. 1
Hebrews 10:27Lakini kinachobaki ni kungoja kwa hofu hukumu ya moto uwakao, utakaowaangamiza adui za Mungu.