Waebrania 12:5
Nanyi mmesahau yale maneno ya kuwaonya yanayowataja ninyi kuwa wana, yakisema: 1 “Mwanangu, usidharau adhabu ya Bwana, 2 wala usikate tamaa akikukemea, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Katika kushindana kwenu dhidi ya dhambi, bado hamjapigana kiasi cha kumwaga damu yenu.
6kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao, 2 na humwadhibu kila mmoja 2 anayemkubali kuwa mwana.”
Cross References
Deuteronomy 4:9Mwe waangalifu, na makini ili msije mkasahau mambo ambayo mliyaona kwa macho yenu, wala kuyaacha yaondoke moyoni mwenu siku zote za uhai wenu. Mwafundishe hayo watoto wenu na watoto wao baada yao.
2 Samuel 6:7Hasira ya Bwana ikawaka dhidi ya Uza kwa sababu ya kitendo chake cha kukosa heshima, kwa hiyo Mungu akampiga akafia papo hapo kando ya Sanduku la Mungu.
1 Chronicles 15:12Akawaambia, “Ninyi ndio viongozi wa jamaa za Walawi. Ninyi pamoja na Walawi wenzenu inawapasa mjitakase na kulipandisha Sanduku la Bwana, Mungu wa Israeli hadi mahali ambapo nimetengeneza kwa ajili yake.
Job 34:31“Kama mwanadamu akimwambia Mungu, 2 ‘Nimekosa lakini sitatenda dhambi tena. 1
Psalms 94:12Ee Bwana, heri mtu anayeadhibishwa na wewe, 2 mtu unayemfundisha kwa sheria yako, 1
Psalms 119:16Ninafurahia maagizo yako, 2 wala sitalipuuza neno lako. 2 Furaha Katika Sheria Ya Bwana 1