The Bible Software
bible.softwareHebrewsHebrews 13 › Hebrews 13:21

Hebrews 13:21

awafanye ninyi wakamilifu mkiwa mmekamilishwa katika kila jambo jema ili mpate kutenda mapenzi yake, naye atende ndani yetu kile kinachompendeza machoni Pake, kwa njia ya Yesu Kristo, ambaye utukufu una yeye milele na milele. Amen. 1 Maneno Ya Mwisho Na Salamu

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Make you perfect in every good work to do his will, working in you that which is wellpleasing in his sight, through Jesus Christ; to whom be glory for ever and ever. Amen.

In Context

20Basi Mungu wa amani, ambaye kwa damu ya Agano la milele alimleta tena kutoka kwa wafu Bwana wetu Yesu, yule Mchungaji Mkuu wa kondoo,

22Ndugu zangu, nawasihi mchukuliane na maneno yangu ya maonyo, kwa kuwa nimewaandikia waraka mfupi tu.

Read all of Hebrews 13

Cross References

Psalms 72:18Bwana Mungu, Mungu wa Israeli, apewe sifa, 2 yeye ambaye peke yake hutenda mambo ya ajabu. 1

Matthew 6:13Usitutie majaribuni, 2 bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu 1 [kwa kuwa Ufalme ni wako, na nguvu, 2 na utukufu, hata milele. Amen].’

Matthew 12:50Kwa maana yeyote afanyaye mapenzi ya Baba yangu wa mbinguni, huyo ndiye ndugu yangu, na dada yangu na mama yangu.”

Matthew 28:20nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika mimi niko pamoja nanyi siku zote, hadi mwisho wa nyakati.”

John 16:23Katika siku hiyo hamtaniuliza neno lolote. Amin, amin nawaambia, kama mkimwomba Baba jambo lolote kwa jina langu, yeye atawapa.

Romans 11:36Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake, viko kwake na kwa ajili yake. 2 Utukufu ni wake milele! Amen.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Hebrews 13:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hebrews 13:20Hebrews 13Hebrews 13:22 →