Romans 11:36
Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake, viko kwake na kwa ajili yake. 2 Utukufu ni wake milele! Amen.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For of him, and through him, and to him, are all things: to whom be glory for ever. Amen.
In Context
35“Au ni nani aliyempa chochote 2 ili arudishiwe?” 1
Cross References
1 Chronicles 29:11Ukuu na uweza, ni vyako, Ee Bwana, 2 na utukufu na enzi na uzuri, 1 kwa kuwa kila kilichoko mbinguni na duniani 2 ni chako wewe. 1 Ee Bwana, ufalme ni wako; 2 umetukuzwa kuwa mkuu juu ya yote. 1
Psalms 33:6Kwa neno la Bwana mbingu ziliumbwa, 2 jeshi lao la angani kwa pumzi ya kinywa chake. 1
Psalms 115:1Sio kwetu sisi, Ee Bwana, sio kwetu sisi, 2 bali utukufu ni kwa jina lako, 1 kwa sababu ya upendo 2 na uaminifu wako. 1
Isaiah 42:12Wampe Bwana utukufu, 2 na kutangaza sifa zake katika visiwa. 1
Daniel 4:3Ishara zake ni kuu aje, 2 na maajabu yake yana nguvu aje! 1 Ufalme wake ni ufalme wa milele; 2 enzi yake hudumu kutoka kizazi hadi kizazi.
Matthew 6:13Usitutie majaribuni, 2 bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu 1 [kwa kuwa Ufalme ni wako, na nguvu, 2 na utukufu, hata milele. Amen].’