The Bible Software
bible.softwareHebrewsHebrews 13 › Hebrews 13:6

Hebrews 13:6

Kwa hiyo tunaweza kusema kwa ujasiri, 1 “Bwana ni msaada wangu; sitaogopa. 2 Mwanadamu anaweza kunitenda nini?”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So that we may boldly say, The Lord is my helper, and I will not fear what man shall do unto me.

In Context

5Yalindeni maisha yenu msiwe na tabia ya kupenda fedha, bali mridhike na vile mlivyo navyo, kwa sababu Mungu amesema, 1 “Kamwe sitakuacha, 2 wala sitakupungukia.”

7Wakumbukeni viongozi wenu, wale waliowaambia neno la Mungu. Angalieni matokeo ya mwenendo wa maisha yao mkaiige imani yao.

Read all of Hebrews 13

Cross References

Exodus 18:4Mwingine aliitwa Eliezeri, kwa kuwa alisema, “Mungu wa baba yangu alikuwa msaada wangu, akaniokoa kutoka upanga wa Farao.”

Deuteronomy 33:29Ee Israeli, wewe umebarikiwa! 2 Ni nani kama wewe, 2 taifa lililookolewa na Bwana? 1 Yeye ni ngao yako na msaada wako, 2 na upanga wako uliotukuka. 1 Adui zako watatetemeka mbele yako, 2 nawe utapakanyaga 2 mahali pao pa juu.” + 33:29 Utapakanyaga mahali pao pa juu maana yake mtakanyaga juu ya miili yao.

Psalms 18:1Nakupenda wewe, Ee Bwana, 2 nguvu yangu. 1

Psalms 27:9Usinifiche uso wako, 2 usimkatae mtumishi wako kwa hasira; 2 wewe umekuwa msaada wangu. 1 Usinikatae wala usiniache, 2 Ee Mungu Mwokozi wangu. 1

Psalms 40:17Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; 2 Bwana na anifikirie. 1 Wewe ndiwe msaada wangu na Mwokozi wangu; 2 Ee Mungu wangu, usikawie.

Psalms 56:4Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, 2 katika Mungu ninatumaini; sitaogopa. 1 Mwanadamu apatikanaye na kufa, 2 atanitenda nini? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Hebrews 13:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hebrews 13:5Hebrews 13Hebrews 13:7 →