Hebrews 13:7
Wakumbukeni viongozi wenu, wale waliowaambia neno la Mungu. Angalieni matokeo ya mwenendo wa maisha yao mkaiige imani yao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Yesu Kristo ni yeye yule jana, leo na hata milele.
Cross References
Matthew 24:45“Ni nani basi aliye mtumishi mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake amemweka kusimamia watumishi wengine katika nyumba yake, ili awape chakula chao kwa wakati unaofaa?
Luke 12:42Yesu akamjibu, “Ni yupi basi wakili mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake atamfanya msimamizi juu ya watumishi wake wote, ili awape watumishi wengine chakula chao wakati unaofaa?
Acts 7:55Lakini yeye Stefano, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alikaza macho mbinguni, akaona utukufu wa Mungu, na Yesu akiwa amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
Acts 14:23Nao baada ya kuwateua wazee katika kila kanisa, kwa kufunga na kuomba wakawakabidhi kwa Bwana waliyemwamini.
1 Corinthians 4:16Basi nawasihi igeni mfano wangu.
1 Corinthians 11:1Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Kristo. 1 Utaratibu Katika Kuabudu