Hebrews 13:8
Yesu Kristo ni yeye yule jana, leo na hata milele.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Jesus Christ the same yesterday, and to day, and for ever.
In Context
Cross References
Psalms 90:2Kabla ya kuzaliwa milima 2 au hujaumba dunia na ulimwengu, 2 wewe ni Mungu tangu milele hata milele. 1
Psalms 102:27Lakini wewe, U yeye yule, 2 nayo miaka yako haikomi kamwe. 1
Isaiah 41:4Ni nani aliyefanya jambo hili na kulitimiliza, 2 akiita vizazi tangu mwanzo? 1 Mimi, Bwana, ni wa kwanza 2 nami nitakuwa pamoja na wa mwisho: 2 mimi Bwana ndiye.” 1
Malachi 3:6“Mimi Bwana sibadiliki. Kwa hiyo ninyi, enyi uzao wa Yakobo, hamjaangamizwa.
2 Corinthians 1:19Kwa kuwa Yesu Kristo, Mwana wa Mungu, ambaye tulimhubiri kwenu: Mimi, Silvano + 1:19 Yaani Sila. na Timotheo, hakuwa “Ndiyo” na “Siyo,” bali kwake yeye siku zote ni “Ndiyo.”
James 1:17Kila kitolewacho kilicho chema na kilicho kamili, hutoka juu, na hushuka kutoka kwa Baba wa mianga, ambaye kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeukageuka.