The Bible Software
bible.softwareWaebraniaWaebrania 2 › Waebrania 2:12

Waebrania 2:12

Yeye husema, 1 “Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu; 2 mbele ya kusanyiko nitaimba sifa zako.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Saying, I will declare thy name unto my brethren, in the midst of the church will I sing praise unto thee.

In Context

11Yeye awafanyaye watu kuwa watakatifu, pamoja na hao ambao hufanywa watakatifu, wote hutoka katika jamaa moja. Hivyo Yesu haoni aibu kuwaita ndugu zake.

13Tena, 1 “Nitaweka tumaini langu kwake.” Tena anasema, 1 “Niko hapa, pamoja na watoto ambao Mungu amenipa.”

Read all of Waebrania 2

Cross References

Psalms 22:22Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu, 2 katika kusanyiko nitakusifu wewe. 1

Psalms 40:10Sikuficha haki yako moyoni mwangu; 2 ninasema juu ya uaminifu wako na wokovu wako. 1 Sikuficha upendo wako na kweli yako 2 mbele ya kusanyiko kubwa. 1

John 18:20Yesu akamjibu, “Nimekuwa nikizungumza waziwazi mbele ya watu wote. Siku zote nimefundisha katika masinagogi na Hekaluni, mahali ambapo Wayahudi wote hukusanyika. Sikusema jambo lolote kwa siri.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 2:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 2:11Waebrania 2Waebrania 2:13 →