Hebrews 2:13
Tena, 1 “Nitaweka tumaini langu kwake.” Tena anasema, 1 “Niko hapa, pamoja na watoto ambao Mungu amenipa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And again, I will put my trust in him. And again, Behold I and the children which God hath given me.
In Context
12Yeye husema, 1 “Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu; 2 mbele ya kusanyiko nitaimba sifa zako.”
Cross References
Genesis 48:9Yosefu akamjibu baba yake, “Hawa ni wana ambao Mungu amenipa nikiwa huku.” Ndipo Israeli akasema, “Walete kwangu ili niwabariki.”
Psalms 16:1Ee Mungu, uniweke salama, 2 kwa maana kwako nimekimbilia. 1
Psalms 36:7Upendo wako usiokoma 2 ni wa thamani mno! 1 Watu wakuu na wadogo 2 hujificha uvulini wa mbawa zako. 1
Psalms 127:3Wana ni urithi utokao kwa Bwana, 2 watoto ni zawadi kutoka kwake. 1
Isaiah 12:2Hakika Mungu ni wokovu wangu; 2 nitamtumaini wala sitaogopa. 1 Bwana, Bwana, ni nguvu zangu na wimbo wangu; 2 amekuwa wokovu wangu.” 1
Isaiah 53:10Lakini yalikuwa ni mapenzi ya Bwana 2 kumchubua na kumsababisha ateseke. 1 Ingawa Bwana amefanya maisha yake 2 kuwa sadaka ya hatia, 1 ataona uzao wake na kuishi siku nyingi, 2 nayo mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake. 1