The Bible Software
bible.softwareHebrewsHebrews 2 › Hebrews 2:15

Hebrews 2:15

na kuwaweka huru wale waliokuwa utumwani maisha yao yote kwa sababu ya kuogopa mauti.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And deliver them who through fear of death were all their lifetime subject to bondage.

In Context

14Basi kwa kuwa watoto wana nyama na damu, yeye pia alishiriki katika ubinadamu wao, ili kwa kifo chake, apate kumwangamiza huyo mwenye nguvu za mauti, yaani ibilisi,

16Kwa kuwa ni dhahiri kwamba hakuja kusaidia malaika, bali uzao wa Abrahamu.

Read all of Hebrews 2

Cross References

Job 18:14Atangʼolewa kutoka usalama wa hema lake, 2 na kupelekwa kwa mfalme wa vitisho. 1

Job 33:21Nyama ya mwili wake huisha kwa kukonda, 2 nayo mifupa yake ambayo mwanzoni ilikuwa imefichika, 2 sasa inatokeza nje. 1

Psalms 55:4Moyo wangu umejaa uchungu, 2 hofu ya kifo imenishambulia. 1

Psalms 73:19Tazama jinsi wanavyoangamizwa ghafula, 2 wanatoweshwa kabisa na vitisho! 1

Luke 1:74kutuokoa kutoka mikononi mwa adui zetu, 2 tupate kumtumikia yeye pasipo hofu 1

Romans 8:21ili kwamba viumbe vyote vipate kuwekwa huru kutoka kwa utumwa wa kuharibika na kupewa uhuru wa utukufu wa watoto wa Mungu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Hebrews 2:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hebrews 2:14Hebrews 2Hebrews 2:16 →