Hebrews 2:4
Pia Mungu aliushuhudia kwa ishara, maajabu na kwa miujiza mbalimbali, na karama za Roho Mtakatifu alizozigawa kulingana na mapenzi yake. 1 Yesu Alifananishwa Na Ndugu Zake
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Mungu hakuuweka ulimwengu ujao ambao tunanena habari zake chini ya malaika.
Cross References
Daniel 4:35Mataifa yote ya dunia 2 yanahesabiwa kuwa si kitu. 1 Hufanya kama atakavyo 2 kwa majeshi ya mbinguni, 2 na kwa mataifa ya dunia. 1 Hakuna anayeweza kuuzuia mkono wake 2 au kumwambia, “Umefanya nini wewe?”
John 4:48Yesu akamwambia, “Ninyi watu msipoona ishara na miujiza kamwe hamtaamini.”
Acts 2:32Mungu alimfufua huyu Yesu na sisi sote ni mashahidi wa jambo hilo.
Acts 4:10ijulikane kwenu nyote na kwa watu wote wa Israeli kwamba: Ni kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, ambaye ninyi mlimsulubisha lakini Mungu akamfufua kutoka kwa wafu, kwa jina hilo mtu huyu anasimama mbele yenu akiwa mzima kabisa.
Acts 19:11Mungu akafanya miujiza mingi isiyo ya kawaida kwa mkono wa Paulo,
1 Corinthians 12:4Kuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni yule yule.