The Bible Software
bible.softwareHebrewsHebrews 2 › Hebrews 2:5

Hebrews 2:5

Mungu hakuuweka ulimwengu ujao ambao tunanena habari zake chini ya malaika.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For unto the angels hath he not put in subjection the world to come, whereof we speak.

In Context

4Pia Mungu aliushuhudia kwa ishara, maajabu na kwa miujiza mbalimbali, na karama za Roho Mtakatifu alizozigawa kulingana na mapenzi yake. 1 Yesu Alifananishwa Na Ndugu Zake

6Lakini kuna mahali mtu fulani ameshuhudia akisema: 1 “Mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, 2 binadamu ni nani hata unamjali? 1

Read all of Hebrews 2

Cross References

Hebrews 6:5ambao wameonja uzuri wa Neno la Mungu na nguvu za wakati ujao,

Revelation 11:15Yule malaika wa saba akaipiga tarumbeta yake, pakawa na sauti kubwa mbinguni iliyosema: 1 “Ufalme wa ulimwengu umekuwa ufalme wa Bwana wetu na wa Kristo wake, 2 naye atatawala milele na milele.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Hebrews 2:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hebrews 2:4Hebrews 2Hebrews 2:6 →