The Bible Software
bible.softwareHebrewsHebrews 2 › Hebrews 2:6

Hebrews 2:6

Lakini kuna mahali mtu fulani ameshuhudia akisema: 1 “Mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, 2 binadamu ni nani hata unamjali? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But one in a certain place testified, saying, What is man, that thou art mindful of him? or the son of man, that thou visitest him?

In Context

5Mungu hakuuweka ulimwengu ujao ambao tunanena habari zake chini ya malaika.

7Umemfanya chini kidogo kuliko malaika; 2 ukamvika taji ya utukufu na heshima, 2

Read all of Hebrews 2

Cross References

Job 7:17“Mwanadamu ni kitu gani hata umjali kiasi hiki, 2 kwamba unamtia sana maanani, 1

Job 25:6sembuse mtu ambaye ni funza: 2 mwanadamu ambaye ni buu tu!”

Psalms 144:3Ee Bwana, mwanadamu ni nini hata umjali, 2 Binadamu ni nini hata umfikirie? 1

Isaiah 40:17Mbele yake mataifa yote ni kama si kitu, 2 yanaonekana yasio na thamani 2 na zaidi ya bure kabisa. 1

Luke 1:68“Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli, 2 kwa kuwa amewajilia watu wake na kuwakomboa. 1

Luke 7:16Watu wote wakajawa na hofu ya Mungu, nao wakamtukuza Mungu wakisema, “Nabii mkuu ametokea miongoni mwetu, Mungu amekuja kuwakomboa watu wake.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Hebrews 2:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hebrews 2:5Hebrews 2Hebrews 2:7 →