The Bible Software
bible.softwareWaebraniaWaebrania 3 › Waebrania 3:10

Waebrania 3:10

Hiyo ndiyo sababu nilikasirikia kizazi kile, 2 nami nikasema, ‘Siku zote mioyo yao imepotoka, 2 nao hawajazijua njia zangu.’ 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Wherefore I was grieved with that generation, and said, They do alway err in their heart; and they have not known my ways.

In Context

9ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima 2 ingawa kwa miaka arobaini 2 walikuwa wameyaona matendo yangu. 1

11Hivyo nikatangaza kwa kiapo katika hasira yangu, 2 ‘Kamwe hawataingia rahani mwangu.’ ”

Read all of Waebrania 3

Cross References

Genesis 6:6Bwana akasikitika kwamba alimuumba mwanadamu duniani, moyo wa Mungu ukajaa masikitiko.

Psalms 67:2ili njia zako zijulikane duniani, 2 wokovu wako katikati ya mataifa yote. 1

Psalms 78:40Mara ngapi walimwasi jangwani 2 na kumhuzunisha nyikani! 1

Psalms 147:20Hajafanya hivyo kwa taifa lingine lolote, 2 hawazijui sheria zake. 1 Msifuni Bwana.

Isaiah 63:10Lakini waliasi, 2 na kumhuzunisha Roho Mtakatifu wake. 1 Hivyo aligeuka na kuwa adui yao, 2 na yeye mwenyewe akapigana dhidi yao. 1

Hosea 4:12wa watu wangu. 1 Hutaka shauri kutoka kwa sanamu ya mti 2 nao hujibiwa na fimbo ya mti. 1 Roho ya ukahaba imewapotosha, 2 hawana uaminifu kwa Mungu wao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 3:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 3:9Waebrania 3Waebrania 3:11 →