The Bible Software
bible.softwareHebrewsHebrews 3 › Hebrews 3:9

Hebrews 3:9

ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima 2 ingawa kwa miaka arobaini 2 walikuwa wameyaona matendo yangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When your fathers tempted me, proved me, and saw my works forty years.

In Context

8msiifanye mioyo yenu migumu, 1 kama mlivyofanya katika uasi, 2 wakati ule wa kujaribiwa jangwani, 1

10Hiyo ndiyo sababu nilikasirikia kizazi kile, 2 nami nikasema, ‘Siku zote mioyo yao imepotoka, 2 nao hawajazijua njia zangu.’ 1

Read all of Hebrews 3

Cross References

Exodus 19:4‘Ninyi wenyewe mmeona nililofanya huko Misri, jinsi nilivyowabeba kwenye mbawa za tai na kuwaleta kwangu.

Numbers 14:33Watoto wenu watakuwa wachungaji wa mifugo hapa kwa miaka arobaini, wakiteseka kwa ajili ya kukosa uaminifu kwenu, hadi mwili wa mtu wenu wa mwisho ulale katika jangwa hili.

Deuteronomy 4:9Mwe waangalifu, na makini ili msije mkasahau mambo ambayo mliyaona kwa macho yenu, wala kuyaacha yaondoke moyoni mwenu siku zote za uhai wenu. Mwafundishe hayo watoto wenu na watoto wao baada yao.

Deuteronomy 8:4Nguo zenu hazikuchakaa wala miguu yenu haikuvimba kwa miaka hii arobaini.

Deuteronomy 29:2Mose akawaita Waisraeli wote akawaambia: Macho yenu yameona yale yote Bwana aliyofanya kwa Mfalme Farao huko Misri, kwa maafisa wake wote na kwa nchi yake yote.

Joshua 23:3Ninyi wenyewe mmeona kila kitu Bwana Mungu wenu, alichowatendea mataifa haya yote kwa ajili yenu. Ilikuwa ni Bwana Mungu wenu aliyewapigania.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Hebrews 3:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hebrews 3:8Hebrews 3Hebrews 3:10 →