The Bible Software
bible.softwareWaebraniaWaebrania 4 › Waebrania 4:12

Waebrania 4:12

Kwa maana Neno la Mungu li hai tena lina nguvu. Lina makali kuliko upanga wowote wenye makali kuwili, hivyo linachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, viungo na mafuta yaliyo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the word of God is quick, and powerful, and sharper than any twoedged sword, piercing even to the dividing asunder of soul and spirit, and of the joints and marrow, and is a discerner of the thoughts and intents of the heart.

In Context

11Basi, na tufanye bidii kuingia katika raha hiyo, ili kwamba asiwepo yeyote atakayeanguka kwa kufuata mfano wao wa kutokutii.

13Wala hakuna kiumbe chochote kilichofichika machoni pa Mungu. Kila kitu kimefunuliwa na kiko wazi machoni pake yeye ambaye kwake ni lazima tutatoa hesabu. 1 Yesu Kristo Kuhani Mkuu Kuliko Wote

Read all of Waebrania 4

Cross References

Judges 3:16Basi Ehudi alikuwa ametengeneza upanga wenye ukatao kuwili, urefu wake ni kama dhiraa moja, + 3:16 Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45. akaufunga upanga huo ndani ya nguo yake kwenye paja lake la mkono wa kuume.

Psalms 110:2Bwana ataeneza fimbo yako ya utawala yenye nguvu kutoka Sayuni; 2 utatawala katikati ya adui zako. 1

Psalms 139:2Unajua ninapoketi na ninapoinuka; 2 unatambua mawazo yangu tokea mbali. 1

Proverbs 5:4lakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo, 2 mkali kama upanga ukatao kuwili. 1

Isaiah 11:4bali kwa uadilifu atahukumu wahitaji, 2 kwa haki ataamua wanyenyekevu wa dunia. 1 Ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake, 2 kwa pumzi ya midomo yake atawaua waovu. 1

Isaiah 55:11ndivyo lilivyo neno langu lile litokalo kinywani mwangu: 2 Halitanirudia tupu, 1 bali litatimiliza lile nililokusudia 2 na litafanikiwa katika kusudi lile nililolituma. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 4:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 4:11Waebrania 4Waebrania 4:13 →