Hebrews 4:13
Wala hakuna kiumbe chochote kilichofichika machoni pa Mungu. Kila kitu kimefunuliwa na kiko wazi machoni pake yeye ambaye kwake ni lazima tutatoa hesabu. 1 Yesu Kristo Kuhani Mkuu Kuliko Wote
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 16:7Lakini Bwana akamwambia Samweli, “Usitazame sura yake wala kimo chake, kwa kuwa nimemkataa. Bwana hatazami katika vile vitu mwanadamu avitazamavyo. Mwanadamu hutazama katika sura ya nje, lakini Bwana hutazama moyoni.”
2 Chronicles 6:30basi usikie kutoka mbinguni, katika makao yako. Usamehe na utende, umpe kila mtu kulingana na matendo yake, kwa kuwa unaujua moyo wake (kwa kuwa ni wewe peke yako ujuaye mioyo ya watu wote),
Job 26:6Mauti + 26:6 Yaani Kuzimu; Kiebrania ni Sheol. iko wazi mbele za Mungu; 2 Uharibifu + 26:6 Kwa Kiebrania ni Abadon. haukufunikwa. 1
Job 38:17Umewahi kuonyeshwa malango ya mauti? 2 Umewahi kuiona milango ya uvuli wa mauti? 1
Psalms 33:13Kutoka mbinguni Bwana hutazama chini 2 na kuwaona wanadamu wote; 1
Psalms 90:8Umeyaweka maovu yetu mbele yako, 2 dhambi zetu za siri katika nuru ya uwepo wako. 1