Hebrews 5:13
Kwa maana yeyote aishiye kwa kunywa maziwa bado yeye ni mtoto mchanga, hana ujuzi katika mafundisho kuhusu neno la haki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For every one that useth milk is unskilful in the word of righteousness: for he is a babe.
In Context
Cross References
Isaiah 28:9“Yeye anajaribu kumfundisha nani? 2 Yeye anamwelezea nani ujumbe wake? 1 Je, ni kwa watoto walioachishwa kunyonya? 2 Je, ni wale ambao ndipo tu wametolewa matitini? 1
Mark 10:15Amin, nawaambia, mtu yeyote asiyeupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hatauingia kamwe.”
Romans 2:20mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa watoto wachanga, kwa kuwa una maarifa ya kweli katika hiyo sheria,
1 Corinthians 3:1Ndugu zangu, mimi sikuweza kusema nanyi kama watu wa kiroho, bali kama watu wa mwilini, kama watoto wachanga katika Kristo.
1 Corinthians 14:20Ndugu zangu, msiwe kama watoto katika kufikiri kwenu, afadhali kuhusu uovu mwe kama watoto wachanga, lakini katika kufikiri kwenu, mwe watu wazima.
Ephesians 4:14Ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwatupwa huku na huku na kuchukuliwa na kila upepo wa mafundisho kwa hila za watu, kwa ujanja, kwa kufuata njia zao za udanganyifu.