Waebrania 5:7
Katika siku za maisha ya Yesu hapa duniani, alimtolea maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, yeye awezaye kumwokoa na mauti, naye Mungu akamsikia kwa sababu ya kutii kwake kwa unyenyekevu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Pia mahali pengine asema, 1 “Wewe ni kuhani milele, 2 kwa mfano wa Melkizedeki.”
8Ingawa alikuwa Mwana, alijifunza utiifu kutokana na mateso aliyoyapata,
Cross References
Leviticus 2:2naye atapeleka kwa makuhani wana wa Aroni. Kuhani atachukua konzi moja iliyojaa unga laini na mafuta pamoja na uvumba wote, na kuuteketeza kama sehemu ya kumbukumbu juu ya madhabahu, sadaka iliyotolewa kwa moto, harufu nzuri ya kumpendeza Bwana.
Psalms 18:19Alinileta nje mahali penye nafasi tele, 2 akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami. 1
Psalms 22:24Kwa maana hakupuuza wala kudharau 2 mateso ya aliyeonewa; 1 hakumficha uso wake 2 bali alisikiliza kilio chake ili amsaidie. 1
Psalms 69:1Ee Mungu, niokoe, 2 kwa maana maji yamenifika shingoni. 1
Psalms 88:1Ee Bwana, Mungu uniokoaye, 2 nimelia mbele zako usiku na mchana. 1
Isaiah 53:3Alidharauliwa na kukataliwa na wanadamu, 2 mtu wa huzuni nyingi, ajuaye mateso. 1 Kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, 2 alidharauliwa, wala hatukumhesabu kuwa kitu. 1