The Bible Software
bible.softwareWaebraniaWaebrania 5 › Waebrania 5:6

Waebrania 5:6

Pia mahali pengine asema, 1 “Wewe ni kuhani milele, 2 kwa mfano wa Melkizedeki.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

As he saith also in another place, Thou art a priest for ever after the order of Melchisedec.

In Context

5Pia Kristo hakujitwalia utukufu yeye mwenyewe wa kuwa Kuhani Mkuu, bali Mungu alimwambia, 1 “Wewe ni Mwanangu; 2 leo mimi nimekuzaa.”

7Katika siku za maisha ya Yesu hapa duniani, alimtolea maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, yeye awezaye kumwokoa na mauti, naye Mungu akamsikia kwa sababu ya kutii kwake kwa unyenyekevu.

Read all of Waebrania 5

Cross References

Genesis 14:18Ndipo Melkizedeki mfalme wa Salemu alipoleta mkate na divai. Alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana.

Hebrews 5:10Naye amewekwa na Mungu kuwa Kuhani Mkuu kwa mfano wa Melkizedeki. 1 Wito Wa Kukua Kiroho

Hebrews 7:3Hana Baba wala mama, hana ukoo, hana mwanzo wala mwisho wa siku zake. Kama Mwana wa Mungu, yeye adumu akiwa kuhani milele.

Hebrews 7:17Kwa maana imeshuhudiwa kwamba: 1 “Wewe ni kuhani milele, 2 kwa mfano wa Melkizedeki.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 5:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 5:5Waebrania 5Waebrania 5:7 →