The Bible Software
bible.software › Waebrania › Waebrania 6 › Waebrania 6:14

Waebrania 6:14

akisema, “Hakika nitakubariki na kukupa wazao wengi.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Saying, Surely blessing I will bless thee, and multiplying I will multiply thee.

In Context

13Mungu alipompa Abrahamu ahadi yake, kwa kuwa hakuwepo mwingine aliyekuwa mkuu kuliko yeye ambaye angeweza kuapa kwa jina lake, aliapa kwa nafsi yake,

15Abrahamu naye, baada ya kungoja kwa saburi, alipokea kile kilichoahidiwa.

Read all of Waebrania 6

Cross References

Genesis 17:2Nami nitafanya Agano langu kati yangu na wewe, nami nitakuzidisha sana sana.”

Genesis 48:4naye akaniambia, ‘Nitakufanya ustawi na kuongezeka hesabu yako, nitakufanya kuwa jamii ya mataifa, nami nitakupa nchi hii uimiliki milele wewe na wazao wako baada yako.’

Deuteronomy 1:10Bwana Mungu wenu ameongeza hesabu yenu, hivi kwamba leo ninyi ni wengi kama nyota za angani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 6:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 6:13Waebrania 6Waebrania 6:15 →