The Bible Software
bible.softwareHebrewsHebrews 6 › Hebrews 6:13

Hebrews 6:13

Mungu alipompa Abrahamu ahadi yake, kwa kuwa hakuwepo mwingine aliyekuwa mkuu kuliko yeye ambaye angeweza kuapa kwa jina lake, aliapa kwa nafsi yake,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For when God made promise to Abraham, because he could swear by no greater, he sware by himself,

In Context

12ili msije mkawa wavivu, bali mpate kuwaiga wale ambao kwa imani na saburi hurithi zile ahadi. 1 Uhakika Wa Ahadi Ya Mungu

14akisema, “Hakika nitakubariki na kukupa wazao wengi.”

Read all of Hebrews 6

Cross References

Genesis 22:15Basi malaika wa Bwana akamwita Abrahamu kutoka mbinguni mara ya pili,

Psalms 105:9agano alilolifanya na Abrahamu, 2 kiapo alichomwapia Isaki. 1

Jeremiah 22:5Lakini kama hutayatii maagizo haya, asema Bwana, ninaapa kwa nafsi yangu kwamba jumba hili litakuwa gofu.’ ”

Ezekiel 32:13Nitaangamiza mifugo yake yote 2 wanaojilisha kando ya maji mengi, 1 hayatavurugwa tena kwa mguu wa mwanadamu 2 wala kwato za mnyama 2 hazitayachafua tena. 1

Luke 1:73kiapo alichomwapia baba yetu Abrahamu: 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Hebrews 6:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hebrews 6:12Hebrews 6Hebrews 6:14 →