Waebrania 6:5
ambao wameonja uzuri wa Neno la Mungu na nguvu za wakati ujao,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And have tasted the good word of God, and the powers of the world to come,
In Context
Cross References
Matthew 13:20Ile mbegu iliyopandwa kwenye sehemu yenye mawe ni mtu yule ambaye hulisikia neno na mara hulipokea kwa furaha.
Mark 6:20kwa sababu Herode alimwogopa Yohana akijua kwamba ni mtu mwenye haki na mtakatifu, hivyo akamlinda. Herode alifadhaika sana alipomsikia Yohana, lakini bado alipenda kumsikiliza.
Hebrews 2:5Mungu hakuuweka ulimwengu ujao ambao tunanena habari zake chini ya malaika.
2 Peter 2:20Kama wameukimbia upotovu wa dunia kwa kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo, kisha wakanaswa tena humo na kushindwa, hali yao ya mwisho ni mbaya zaidi kuliko ile ya kwanza.