The Bible Software
bible.softwareWaebraniaWaebrania 6 › Waebrania 6:9

Waebrania 6:9

Ingawa tunasema hivi, ndugu zangu wapendwa, kwa upande wenu tuna hakika ya mambo mema zaidi, mambo yale yahusuyo wokovu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But, beloved, we are persuaded better things of you, and things that accompany salvation, though we thus speak.

In Context

8Lakini ardhi ikizaa miiba na mibaruti, haina thamani na iko hatarini ya kulaaniwa. Mwisho wake ni kuchomwa moto.

10Mungu si mdhalimu: yeye hataisahau kazi yenu na upendo ule mlioonyesha kwa ajili yake katika kuwahudumia watakatifu na hata sasa mnaendelea kuwahudumia.

Read all of Waebrania 6

Cross References

Matthew 5:3“Heri walio maskini wa roho, 2 maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. 1

Acts 11:18Waliposikia haya hawakuwa na la kupinga zaidi. Nao wakamwadhimisha Mungu wakisema, “Basi, Mungu amewapa hata watu wa Mataifa toba iletayo uzima wa milele.” 1 Kanisa La Antiokia

1 Corinthians 10:14Kwa hiyo wapenzi wangu, zikimbieni ibada za sanamu.

Galatians 5:6Kwa maana ndani ya Kristo Yesu, kutahiriwa au kutokutahiriwa hakuleti tofauti, bali lililo muhimu ni imani itendayo kazi kwa njia ya upendo.

Philippians 1:6Nina hakika kwamba yeye aliyeianza kazi njema mioyoni mwenu, ataiendeleza na kuikamilisha hata siku ya Kristo Yesu.

Titus 2:11Kwa maana neema ya Mungu ambayo inawaokoa wanadamu wote imefunuliwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 6:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 6:8Waebrania 6Waebrania 6:10 →