Hebrews 7:17
Kwa maana imeshuhudiwa kwamba: 1 “Wewe ni kuhani milele, 2 kwa mfano wa Melkizedeki.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For he testifieth, Thou art a priest for ever after the order of Melchisedec.
In Context
18Kwa upande mmoja, ile amri ya mwanzo isiyofaa na dhaifu imebatilishwa
Cross References
Psalms 110:4Bwana ameapa, 2 naye hatabadilisha mawazo yake: 2 “Wewe ni kuhani milele, 2 kwa mfano wa Melkizedeki.” 1
Hebrews 5:10Naye amewekwa na Mungu kuwa Kuhani Mkuu kwa mfano wa Melkizedeki. 1 Wito Wa Kukua Kiroho
Hebrews 7:15Tena hayo tuliyosema yako wazi zaidi kama akitokea kuhani mwingine kama Melkizedeki,