Waebrania 7:23
Basi pamekuwepo na makuhani wengi wa aina hiyo, kwa kuwa kifo kiliwazuia kuendelea na huduma yao ya ukuhani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they truly were many priests, because they were not suffered to continue by reason of death:
In Context
22Kwa ajili ya kiapo hiki, Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.
24Lakini kwa sababu Yesu anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu.
Cross References
Nehemiah 12:10Yeshua alikuwa baba wa Yoyakimu, Yoyakimu alikuwa baba wa Eliashibu, Eliashibu alikuwa baba wa Yoyada,