Waebrania 7:24
Lakini kwa sababu Yesu anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But this man, because he continueth ever, hath an unchangeable priesthood.
In Context
Cross References
1 Samuel 2:35Mimi mwenyewe nitajiinulia kuhani mwaminifu, ambaye atafanya sawasawa na kile kilichoko moyoni mwangu na akilini mwangu. Nitaifanya nyumba yake kuwa imara, naye atahudumu mbele ya mpakwa mafuta wangu daima.
John 12:34Ule umati wa watu ukapiga kelele ukasema, “Tumesikia kutoka Sheria kwamba ‘Kristo + 12:34 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. adumu milele,’ wewe wawezaje kusema, ‘Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu’? Huyu ‘Mwana wa Adamu’ ni nani?”
Hebrews 7:8Kwa upande mmoja, sehemu ya kumi hupokelewa na wale ambao hupatikana na kufa; lakini kwa upande mwingine hupokelewa na yeye ambaye hushuhudiwa kuwa yu hai.
Hebrews 13:8Yesu Kristo ni yeye yule jana, leo na hata milele.