Hebrews 7:25
Kwa hiyo anaweza kuwaokoa kabisa wale wanaomjia Mungu kupitia kwake, kwa sababu yeye adumu daima kuomba kwa ajili yao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Lakini kwa sababu Yesu anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu.
Cross References
Job 22:17Walimwambia Mungu, ‘Tuache sisi! 2 Huyo Mwenyezi aweza kutufanyia nini?’ 1
Psalms 68:31Wajumbe watakuja kutoka Misri, 2 Kushi + 68:31 Kushi hapa ina maana maeneo ya Naili ya juu, yaani Ethiopia. atajisalimisha kwa Mungu. 1
Isaiah 45:24Watasema kuhusu mimi, 2 ‘Katika Bwana peke yake 2 ndiko kuna haki na nguvu.’ ” 1 Wote ambao wamemkasirikia Mungu 2 watamjia yeye, nao watatahayarika. 1
Isaiah 59:16Aliona kuwa hakuwepo hata mtu mmoja, 2 akashangaa kwamba hakuwepo hata mmoja wa kuingilia kati; 1 hivyo mkono wake mwenyewe 2 ndio uliomfanyia wokovu, 1 nayo haki yake mwenyewe 2 ndiyo iliyomtegemeza. 1
Jeremiah 3:22“Rudini, enyi watu msio waaminifu, 2 nami nitawaponya ukengeufu wenu.” 1 “Naam, tutakuja kwako, 2 kwa maana wewe ni Bwana Mungu wetu. 1
Daniel 3:17Ikiwa tutatupwa ndani ya tanuru iwakayo moto, Mungu tunayemtumikia anaweza kutuokoa na moto, naye atatuokoa kutoka mkononi mwako, ee mfalme.