Hebrews 8:1
Basi jambo tunalotaka kulisema ni hili: Tunaye Kuhani Mkuu ambaye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Aliye Mkuu mbinguni,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2yeye ahudumuye katika patakatifu, hema la kweli lililowekwa na Bwana, wala si na mwanadamu.
Cross References
1 Chronicles 29:11Ukuu na uweza, ni vyako, Ee Bwana, 2 na utukufu na enzi na uzuri, 1 kwa kuwa kila kilichoko mbinguni na duniani 2 ni chako wewe. 1 Ee Bwana, ufalme ni wako; 2 umetukuzwa kuwa mkuu juu ya yote. 1
Psalms 21:5Kutokana na ushindi uliompa, utukufu wake ni mkubwa, 2 umeweka juu yake fahari na utukufu. 1
Psalms 104:1Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. 1 Ee Bwana Mungu wangu, wewe ni mkuu sana, 2 umejivika utukufu na enzi. 1
Psalms 145:12ili watu wote wajue matendo yako makuu 2 na utukufu wa fahari ya ufalme wako. 1
Micah 5:4Atasimama na kulichunga kundi lake 2 katika nguvu ya Bwana, 2 katika utukufu wa jina la Bwana Mungu wake. 1 Nao wataishi kwa usalama, kwa kuwa wakati huo 2 ukuu wake utaenea hadi miisho ya dunia. 2
Colossians 3:1Basi, kwa kuwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo alikoketi mkono wa kuume wa Mungu.