Hebrews 8:8
Lakini Mungu aliona kosa kwa watu, naye akasema: 1 “Siku zinakuja, asema Bwana, 2 nitakapofanya agano jipya 1 na nyumba ya Israeli 2 na nyumba ya Yuda. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 23:5Bwana asema, “Siku zinakuja, 2 nitakapomwinulia Daudi Tawi lenye haki, 1 Mfalme atakayetawala kwa hekima, 2 na kutenda lililo haki na sawa katika nchi. 1
Jeremiah 30:3Siku zinakuja,’ asema Bwana, ‘nitakapowaleta watu wangu Israeli na Yuda kutoka uhamishoni, na kuwarudisha katika nchi niliyowapa baba zao ili kuimiliki,’ asema Bwana.”
Jeremiah 31:31“Siku zinakuja,” asema Bwana, 2 “nitakapofanya agano jipya 1 na nyumba ya Israeli 2 na nyumba ya Yuda. 1
Jeremiah 32:40Nitafanya nao agano la milele: Kamwe sitaacha kuwatendea mema, nami nitawavuvia kunicha mimi, ili kamwe wasigeukie mbali nami.
Ezekiel 16:60Lakini nitakumbuka Agano nililolifanya nawe wakati wa ujana wako, nami nitaweka nawe Agano imara la milele.
Matthew 26:28Hii ndiyo damu yangu ya Agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.