The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 1 › Hosea 1:2

Hosea 1:2

Wakati Bwana alipoanza kuzungumza kupitia Hosea, Bwana alimwambia, “Nenda ukajitwalie mwanamke wa uzinzi na watoto wa uzinzi, kwa sababu nchi ina hatia ya uzinzi wa kupindukia kwa kumwacha Bwana.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The beginning of the word of the LORD by Hosea. And the LORD said to Hosea, Go, take unto thee a wife of whoredoms and children of whoredoms: for the land hath committed great whoredom, departing from the LORD.

In Context

1Neno la Bwana lililomjia Hosea mwana wa Beeri wakati wa utawala wa Uzia, Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda, na wakati wa utawala wa Yeroboamu mwana wa Yehoashi, mfalme wa Israeli. 1 Mke Wa Hosea Na Watoto

3Kwa hiyo alimwoa Gomeri binti Diblaimu, naye akachukua mimba na kumzalia Hosea mwana.

Read all of Hosea 1

Cross References

Exodus 34:16Unapowachagua baadhi ya binti zao kuwa wake wa wana wenu na binti hao wakajifanyia ukahaba kwa miungu yao, watawaongoza wana wenu kufanya vivyo hivyo.

2 Chronicles 21:13Lakini umeenenda katika njia za wafalme wa Israeli, nawe umewaongoza Yuda na watu wa Yerusalemu kuzini, kama vile nyumba ya Ahabu ilivyofanya. Pia umewaua ndugu zako mwenyewe, watu wa nyumbani mwa baba yako, watu waliokuwa bora kuliko wewe.

Psalms 106:39Wakajinajisi wenyewe kwa yale waliyotenda; 2 kwa matendo yao wenyewe wakajifanyia ukahaba. 1

Jeremiah 2:13“Watu wangu wametenda dhambi mbili: 2 Wameniacha mimi, 2 niliye chemchemi ya maji yaliyo hai, 1 nao wamejichimbia visima vyao wenyewe, 2 visima vilivyobomoka, visivyoweza kuhifadhi maji. 1

Jeremiah 2:23“Wawezaje kusema, ‘Mimi si najisi, 2 sijawafuata Mabaali’? 1 Kumbuka jinsi ulivyotenda kule bondeni; 2 fikiri uliyoyafanya. 1 Wewe ni ngamia jike mwenye mbio 2 ukikimbia hapa na pale, 1

Jeremiah 3:9Kwa sababu uasherati wa Israeli haukuwa kitu kwake, Yuda aliinajisi nchi kwa kuzini na mawe na miti.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 1:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 1:1Hosea 1Hosea 1:3 →