Yeremia 3:9
Kwa sababu uasherati wa Israeli haukuwa kitu kwake, Yuda aliinajisi nchi kwa kuzini na mawe na miti.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 57:6“Sanamu zilizo katikati ya mawe laini ya mabondeni ndizo fungu lenu; 2 hizo ndizo sehemu yenu. 1 Naam, kwa hizo mmemimina sadaka za vinywaji, 2 na kutoa sadaka za nafaka. 1 Katika haya yote, 2 niendelee kuona huruma? 1
Jeremiah 2:27Wanaiambia miti, ‘Wewe ndiwe baba yangu,’ 2 nalo jiwe, ‘Wewe ndiwe uliyenizaa.’ 1 Wamenipa visogo vyao 2 wala hawakunigeuzia nyuso zao; 1 lakini wakiwa katika taabu, wanasema, 2 ‘Njoo utuokoe!’ 1
Jeremiah 10:8Wote hawana akili, tena ni wapumbavu, 2 wanafundishwa na sanamu za miti zisizofaa lolote. 1
Ezekiel 23:10Wakamvua nguo zake wakamwacha uchi, wakawachukua wanawe na binti zake, naye wakamuua kwa upanga. Akawa kitu cha kudharauliwa miongoni mwa wanawake na adhabu ikatolewa dhidi yake.
Joel 1:19Kwako, Ee Bwana, naita, 2 kwa kuwa moto umeteketeza 2 malisho ya mbugani 1 na miali ya moto imeunguza 2 miti yote shambani. 1