Hosea 12:9
“Mimi ndimi Bwana Mungu wenu 2 niliyewaleta kutoka Misri; 1 nitawafanya mkae tena kwenye mahema, 2 kama vile katika siku 2 za sikukuu zenu zilizoamriwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Niliongea na manabii, nikawapa maono mengi 2 na kusema mifano kupitia wao.” 1
Cross References
Exodus 20:2“Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa Misri, kutoka nchi ya utumwa. 1
Leviticus 23:40Siku ya kwanza mtachukua matunda mazuri ya miti, matawi ya mitende, matawi yenye majani mengi, na matawi ya mirebi, nanyi mtashangilia mbele za Bwana Mungu wenu kwa siku saba.
Numbers 15:41Mimi Ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa Misri niwe Mungu wenu. Mimi Ndimi Bwana Mungu wenu.’ ”
Ezra 3:4Kisha kulingana na kile kilichoandikwa, wakaiadhimisha Sikukuu ya Vibanda wakitoa idadi ya sadaka za kuteketezwa kama ilivyohitajika kila siku sawasawa na ilivyoagizwa.
Psalms 49:7Hakuna mwanadamu awaye yote 2 awezaye kuukomboa uhai wa mwingine, 2 au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake. 1
Proverbs 30:12wale ambao ni safi machoni pao wenyewe 2 kumbe hawakuoshwa uchafu wao; 1