The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 49 › Zaburi 49:7

Zaburi 49:7

Hakuna mwanadamu awaye yote 2 awezaye kuukomboa uhai wa mwingine, 2 au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

None of them can by any means redeem his brother, nor give to God a ransom for him:

In Context

6wale wanaotegemea mali zao 2 na kujivunia utajiri wao mwingi? 1

8Fidia ya uhai ni gharama kubwa, 2 hakuna malipo yoyote yanayotosha, 1

Read all of Zaburi 49

Cross References

Proverbs 18:11Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, 2 wanaudhania kuwa ukuta usioweza kurukwa. 1

Hosea 12:9“Mimi ndimi Bwana Mungu wenu 2 niliyewaleta kutoka Misri; 1 nitawafanya mkae tena kwenye mahema, 2 kama vile katika siku 2 za sikukuu zenu zilizoamriwa. 1

Matthew 20:28kama vile ambavyo Mwana wa Adamu hakuja ili kutumikiwa, bali kutumika na kuutoa uhai wake uwe fidia kwa ajili ya wengi.” 1 Yesu Awaponya Vipofu Wawili (Marko 10:46-52; Luka 18:35-43)

Mark 8:37Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake?

1 Peter 1:18Kwa maana mnafahamu kwamba mlikombolewa kutoka mwenendo wenu usiofaa ambao mliurithi kutoka kwa baba zenu, si kwa vitu viharibikavyo kama fedha na dhahabu,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 49:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 49:6Zaburi 49Zaburi 49:8 →