The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 13 › Hosea 13:1

Hosea 13:1

Wakati Efraimu alipozungumza, watu walitetemeka, 2 alikuwa ametukuzwa katika Israeli. 1 Lakini alikuwa na hatia ya kumwabudu Baali 2 naye akafa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When Ephraim spake trembling, he exalted himself in Israel; but when he offended in Baal, he died.

In Context

2Sasa wanatenda dhambi zaidi na zaidi; 2 wanajitengenezea sanamu 2 kutokana na fedha yao, 1 vinyago vilivyotengenezwa kwa uhodari, 2 vyote kazi ya fundi stadi. 1 Inasemekana kuhusu hawa watu, 2 “Hutoa dhabihu za binadamu 2 na kubusu sanamu za ndama.” 1

Read all of Hosea 13

Cross References

Genesis 2:17lakini kamwe usile matunda ya mti wa kujua mema na mabaya, kwa maana siku utakapokula matunda yake, hakika utakufa.”

Numbers 10:22Vikosi vya kambi ya Efraimu vilifuata, chini ya alama yao. Elishama mwana wa Amihudi alikuwa kiongozi wao.

Numbers 13:16Haya ndiyo majina ya watu ambao Mose aliwatuma kuipeleleza nchi. (Mose akampa Hoshea mwana wa Nuni jina Yoshua.)

Joshua 3:7Ndipo Bwana akamwambia Yoshua, “Leo nitaanza kukutukuza machoni pa Israeli yote, ili wapate kujua kuwa niko pamoja nawe kama nilivyokuwa pamoja na Mose.

Judges 12:1Watu wa Efraimu wakaita majeshi yao, wakavuka kwenda Zafoni, wakamwambia Yefta, “Kwa nini mmekwenda kupigana na Waamoni bila kutuita ili twende pamoja nawe? Basi tutaichoma moto nyumba yako, pamoja nawe ukiwa ndani yake.”

1 Kings 12:25Kisha Yeroboamu akajenga Shekemu akaizungushia ngome katika nchi ya vilima ya Efraimu na akaishi huko. Akatoka huko, akaenda akajenga Penueli. + 12:25 Jina lingine ni Penieli kwa Kiebrania.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 13:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Hosea 13Hosea 13:2 →