Hosea 13:2
Sasa wanatenda dhambi zaidi na zaidi; 2 wanajitengenezea sanamu 2 kutokana na fedha yao, 1 vinyago vilivyotengenezwa kwa uhodari, 2 vyote kazi ya fundi stadi. 1 Inasemekana kuhusu hawa watu, 2 “Hutoa dhabihu za binadamu 2 na kubusu sanamu za ndama.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 32:14“Nanyi mko hapa, uzao wa wenye dhambi, mkisimamia mahali pa baba zenu na mkimfanya Bwana kuwakasirikia Waisraeli hata zaidi.
1 Kings 19:18Hata sasa nimeweka akiba watu elfu saba katika Israeli, wote ambao hawajampigia Baali magoti, na wote ambao midomo yao haijambusu.” 1 Wito Wa Elisha
2 Chronicles 33:23Lakini tofauti na Manase baba yake, hakujinyenyekeza mbele za Bwana, badala yake Amoni aliongeza hatia zaidi na zaidi.
Psalms 115:4Lakini sanamu zao ni za fedha na dhahabu, 2 zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. 1
Isaiah 1:5Kwa nini mzidi kupigwa? 2 Kwa nini kudumu katika uasi? 1 Kichwa chako chote kimejeruhiwa, 2 moyo wako wote ni mgonjwa. 1
Isaiah 44:11Yeye pamoja na wenziwe wa aina yake wataaibishwa, 2 mafundi wao si kitu ila ni wanadamu tu. 1 Wote wakusanyike pamoja na kuwa na msimamo wao, 2 watashushwa chini kwa hofu na kwa fedheha. 1