Hosea 13:10
Yuko wapi mfalme wako, 2 ili apate kukuokoa? 1 Wako wapi watawala wako katika miji yako yote 2 ambao ulisema kuwahusu, 2 ‘Nipe mfalme na wakuu’? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9“Ee Israeli, umeangamizwa, 2 kwa sababu wewe u kinyume nami, 2 kinyume na msaidizi wako. 1
11Hivyo katika hasira yangu nilikupa mfalme 2 na katika ghadhabu yangu nilimwondoa. 1
Cross References
Judges 2:16Ndipo Bwana akawainua waamuzi, ambao waliwaokoa katika mikono ya hao watu waliowashambulia.
1 Samuel 8:7Naye Bwana akamwambia: “Sikiliza yale yote watu wanakuambia. Si wewe ambaye wamekukataa, bali wamenikataa mimi kuwa mfalme wao.
1 Samuel 12:11Ndipo Bwana akawatuma Yerub-Baali, + 12:11 Yerub-Baali pia aliitwa Gideoni. Baraka, Yefta na Samweli, naye akawaokoa kutoka mikononi mwa adui zenu kila upande, ili ninyi mpate kukaa salama.
2 Kings 17:4Lakini mfalme wa Ashuru akagundua kuwa Hoshea alikuwa msaliti, kwa kuwa alikuwa ametuma wajumbe kwa So mfalme wa Misri, naye hakuendelea kulipa ushuru kwa mfalme wa Ashuru tena kama alivyokuwa anafanya kila mwaka. Kwa hiyo Shalmanesa akamkamata na kumtia gerezani.
Psalms 44:4Wewe ni mfalme wangu na Mungu wangu, 2 unayeamuru ushindi kwa Yakobo. 1
Psalms 74:12Lakini wewe, Ee Mungu, ni mfalme wangu tangu zamani, 2 unaleta wokovu duniani. 1