Hosea 2:5
Mama yao amekosa uaminifu 2 na amewachukua mimba katika aibu. 1 Gomeri alisema, ‘Nitawaendea wapenzi wangu, 2 ambao hunipa chakula changu 2 na maji yangu, 1 sufu yangu na kitani yangu, mafuta yangu 2 na kinywaji changu.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Sitaonyesha upendo wangu kwa watoto wake, 2 kwa sababu ni watoto wa uzinzi. 1
Cross References
Ezra 9:6Nami nikaomba: “Ee Mungu wangu, natahayari na kuona aibu kukuinulia uso wangu Mungu wangu, kwa sababu dhambi zetu zimejikusanya hata kupita juu ya vichwa vyetu na hatia yetu imefika mbinguni.
Isaiah 50:1Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Iko wapi hati ya talaka ya mama yako 2 ambayo kwayo niliachana naye? 1 Au nimewauza ninyi kwa nani 2 miongoni mwa watu wanaonidai? 1 Kwa ajili ya dhambi zenu mliuzwa, 2 kwa sababu ya makosa, mama yenu aliachwa. 1
Jeremiah 2:20“Zamani nilivunja nira yako 2 na kukatilia mbali vifungo vyako; 2 ukasema, ‘Sitakutumikia!’ 1 Naam kweli, kwenye kila kilima kirefu 2 na chini ya kila mti uliotanda matawi yake 2 ulijilaza kama kahaba. 1
Jeremiah 3:1“Kama mtu akimpa talaka mkewe, 2 naye akamwacha na akaolewa na mtu mwingine, 1 je, huyo mume aweza kumrudia tena? 2 Je, hiyo nchi haitanajisika kabisa? 1 Lakini umeishi kama kahaba na wapenzi wengi: 2 je, sasa utanirudia tena?” 4 asema Bwana. 1
Jeremiah 11:13Mnayo miungu mingi kama miji mliyo nayo, ee Yuda, nazo madhabahu mlizozijenga za kufukizia uvumba huyo mungu wa aibu Baali ni nyingi kama barabara za Yerusalemu.’
Jeremiah 44:17Hakika tutafanya kila kitu tulichosema tutakifanya: Tutafukiza uvumba kwa Malkia wa Mbinguni na tutammiminia sadaka zetu za kinywaji kama vile sisi na baba zetu, wafalme wetu na maafisa wetu tulivyofanya katika miji ya Yuda na katika barabara za Yerusalemu. Wakati ule tulikuwa na chakula tele, tulikuwa matajiri wala hatukupata dhara lolote.