Hosea 2:4
Sitaonyesha upendo wangu kwa watoto wake, 2 kwa sababu ni watoto wa uzinzi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I will not have mercy upon her children; for they be the children of whoredoms.
In Context
Cross References
2 Kings 9:22Yoramu alipomwona Yehu akauliza, “Je, Yehu, umekuja kwa amani?” Yehu akajibu, “Kunawezaje kuwa na amani wakati ibada za sanamu na uchawi wa mama yako Yezebeli ungaliko?”
Isaiah 50:1Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Iko wapi hati ya talaka ya mama yako 2 ambayo kwayo niliachana naye? 1 Au nimewauza ninyi kwa nani 2 miongoni mwa watu wanaonidai? 1 Kwa ajili ya dhambi zenu mliuzwa, 2 kwa sababu ya makosa, mama yenu aliachwa. 1
Jeremiah 13:14Nitawagonganisha kila mmoja na mwenzake, baba na wana wao, asema Bwana. Sitawarehemu wala kuwahurumia ili niache kuwaangamiza.’ ” 1 Tishio La Kutekwa 1
Ezekiel 8:18Kwa hiyo nitashughulika nao kwa hasira, sitawaonea huruma wala kuwaachilia. Wajapopiga makelele masikioni mwangu, sitawasikiliza.”
Hosea 1:2Wakati Bwana alipoanza kuzungumza kupitia Hosea, Bwana alimwambia, “Nenda ukajitwalie mwanamke wa uzinzi na watoto wa uzinzi, kwa sababu nchi ina hatia ya uzinzi wa kupindukia kwa kumwacha Bwana.”
Zechariah 1:12Kisha malaika wa Bwana akasema, “ Bwana Mwenye Nguvu Zote, utazuia mpaka lini rehema kutoka Yerusalemu na miji ya Yuda, ambayo umeikasirikia kwa miaka hii sabini?”