The Bible Software
bible.software › Hosea › Hosea 5 › Hosea 5:15

Hosea 5:15

Kisha nitarudi mahali pangu 2 mpaka watakapokubali kosa lao. 1 Nao watautafuta uso wangu; 2 katika taabu yao watanitafuta kwa bidii.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will go and return to my place, till they acknowledge their offence, and seek my face: in their affliction they will seek me early.

In Context

14Kwa maana nitakuwa kama simba kwa Efraimu, 2 kama simba mkubwa kwa Yuda. 1 Nitawararua vipande vipande na kuondoka; 2 nitawachukua mbali, 2 na hakuna wa kuwaokoa. 1

Read all of Hosea 5

Cross References

Exodus 25:21Weka huo Ushuhuda nitakaokupa ndani ya hilo Sanduku la Agano, na uweke hicho kifuniko juu ya hilo Sanduku.

Deuteronomy 4:29Lakini kama mtamtafuta Bwana Mungu wenu, mtampata; kama mtamtafuta kwa moyo wenu wote na kwa roho yote.

Judges 4:3Kwa kuwa Sisera alikuwa na magari ya chuma yapatayo 900, naye alikuwa amewatesa Waisraeli kwa ukatili kwa muda wa miaka ishirini, Waisraeli wakamlilia Bwana wakaomba msaada.

Judges 10:10Ndipo Waisraeli wakamlilia Bwana wakasema, “Tumetenda dhambi dhidi yako, kumwacha Mungu wetu na kutumikia Mabaali.”

1 Kings 8:47na kama watabadilika mioyo yao katika nchi wanakoshikiliwa mateka, nao wakatubu na kukulilia katika nchi ya wale waliowashinda na kusema, ‘Tumetenda dhambi, tumefanya makosa, tumetenda uovu’;

2 Chronicles 7:14kama watu wangu, wanaoitwa kwa Jina langu, watajinyenyekesha na kuomba na kuutafuta uso wangu na kuacha njia zao mbaya, basi nitasikia toka mbinguni na kuwasamehe dhambi yao na nitaiponya nchi yao.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 5:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 5:14Hosea 5