Hosea 5:14
Kwa maana nitakuwa kama simba kwa Efraimu, 2 kama simba mkubwa kwa Yuda. 1 Nitawararua vipande vipande na kuondoka; 2 nitawachukua mbali, 2 na hakuna wa kuwaokoa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:31Ngʼombe wako atachinjwa mbele ya macho yako lakini hutakula nyama yake. Punda wako atachukuliwa kwa nguvu kutoka kwako wala hatarudishwa. Kondoo wako watapewa adui zako, wala hakuna mtu yeyote wa kuwaokoa.
Job 10:7ingawa wajua kuwa mimi sina hatia, 2 na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako? 1
Psalms 7:2la sivyo watanirarua kama simba 2 na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa. 1
Isaiah 5:29Ngurumo yao ni kama ile ya simba, 2 wananguruma kama wana simba, 1 wanakoroma wanapokamata mawindo yao, 2 na kuondoka nayo pasipo yeyote wa kuokoa. 1
Hosea 2:12Nitaiharibu mizabibu yake na mitini yake, 2 ambayo alisema yalikuwa malipo yake 2 kutoka kwa wapenzi wake; 1 nitaifanya kuwa kichaka, 2 nao wanyama pori wataila. 1
Hosea 13:7Kwa hiyo nitakuja juu yao kama simba, 2 kama chui nitawavizia kando ya njia. 1