Hosea 7:10
Kiburi cha Israeli kinashuhudia dhidi yake, 2 lakini pamoja na haya yote 1 harudi kwa Bwana Mungu wake 2 wala kumtafuta. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 10:4Katika kiburi chake, mwovu hamtafuti Mungu, 2 katika mawazo yake yote 2 hakuna nafasi ya Mungu. 1
Psalms 53:2Mungu anawachungulia wanadamu chini 2 kutoka mbinguni 1 aone kama wako wenye akili, 2 wowote wanaomtafuta Mungu. 1
Isaiah 9:12Waashuru kutoka upande wa mashariki 2 na Wafilisti kutoka upande wa magharibi 2 wameila Israeli kwa kinywa kilichopanuliwa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1
Jeremiah 3:3Kwa hiyo mvua imezuiliwa, 2 nazo mvua za vuli hazikunyesha. 1 Hata hivyo, una uso usio na haya kama wa kahaba; 2 unakataa kutahayari kwa aibu. 1
Jeremiah 25:5Walisema, “Geukeni sasa, kila mmoja wenu kutoka njia yake mbaya na matendo yake maovu, ndipo mtaweza kukaa katika nchi ambayo Bwana aliwapa ninyi na baba zenu milele.
Hosea 5:5Kiburi cha Israeli kinashuhudia dhidi yao; 2 Waisraeli, hata Efraimu, 1 wanajikwaa katika dhambi zao; 2 pia Yuda atajikwaa pamoja nao. 1