The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 9 › Isaya 9:12

Isaya 9:12

Waashuru kutoka upande wa mashariki 2 na Wafilisti kutoka upande wa magharibi 2 wameila Israeli kwa kinywa kilichopanuliwa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The Syrians before, and the Philistines behind; and they shall devour Israel with open mouth. For all this his anger is not turned away, but his hand is stretched out still.

In Context

11Lakini Bwana amemtia nguvu adui wa Resini dhidi yao 2 na kuchochea watesi wao. 1

13Lakini watu hawajamrudia yeye aliyewapiga, 2 wala hawajamtafuta Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

Read all of Isaya 9

Cross References

2 Kings 16:6Wakati ule, Resini mfalme wa Aramu akaurudisha Elathi kwa Aramu kwa kuwafukuza watu wa Yuda. Kisha Waedomu wakahamia Elathi, nao wanaishi huko mpaka leo.

Psalms 79:7kwa maana wamemrarua Yakobo 2 na kuharibu nchi ya makao yake. 1

Isaiah 5:25Kwa hiyo hasira ya Bwana inawaka dhidi ya watu wake, 2 mkono wake umeinuliwa na anawapiga. 1 Milima inatetemeka, 2 maiti ni kama takataka kwenye barabara. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1

Isaiah 9:21Manase atamla Efraimu, 2 naye Efraimu atamla Manase; 2 nao pamoja watakuwa kinyume na Yuda. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu.

Isaiah 31:1Ole wao wale washukao Misri kwa ajili ya msaada, 2 wale wategemeao farasi, 1 wanaoweka tumaini katika wingi wa magari yao ya vita, 2 na katika nguvu nyingi za wapanda farasi, 1 lakini hawamwangalii yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, 2 wala hawatafuti msaada kwa Bwana. 1

Jeremiah 10:25Umwage ghadhabu yako juu ya mataifa 2 wasiokujua wewe, 2 juu ya mataifa wasioliitia jina lako. 1 Kwa kuwa wamemwangamiza Yakobo; 2 wamemwangamiza kabisa 2 na kuiharibu nchi yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 9:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 9:11Isaya 9Isaya 9:13 →