Hosea 7:16
Hawamgeukii Yeye Aliye Juu Sana, 2 wako kama upinde wenye kasoro. 1 Viongozi wao wataanguka kwa upanga 2 kwa sababu ya maneno yao ya jeuri. 1 Kwa ajili ya hili watadhihakiwa 2 katika nchi ya Misri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Niliwafundisha na kuwatia nguvu, 2 lakini wanapanga mabaya dhidi yangu. 1
Cross References
Psalms 12:5“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge 2 na kulia kwa uchungu kwa wahitaji, 1 nitainuka sasa,” asema Bwana. 2 “Nitawalinda kutokana na wale 2 wenye nia mbaya juu yao.” 1
Psalms 57:4Niko katikati ya simba, 2 nimelala katikati ya wanyama wenye njaa kuu: 2 watu ambao meno yao ni mikuki na mishale, 2 ambao ndimi zao ni panga kali. 1
Psalms 78:37mioyo yao haikuwa thabiti kwake, 2 wala hawakuwa waaminifu katika agano lake. 1
Isaiah 3:8Yerusalemu inapepesuka, 2 Yuda inaanguka; 1 maneno yao na matendo yao ni kinyume na Bwana, 2 wakiudharau uwepo wake uliotukuka. 1
Jeremiah 18:18Wakasema, “Njooni, tutunge hila dhidi ya Yeremia; kwa kuwa kufundisha sheria kwa kuhani hakutapotea, wala shauri litokalo kwa mwenye hekima, wala neno la manabii. Hivyo njooni, tumshambulie kwa ndimi zetu na tusijali chochote asemacho.” 1
Ezekiel 23:32“Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “Utakinywea kikombe cha dada yako, 2 kikombe kikubwa na chenye kina kirefu; 1 nitaletea juu yako dharau na dhihaka, 2 kwa kuwa kimejaa sana. 1