Hosea 7:4
Wote ni wazinzi, 2 wanawaka kama tanuru 1 ambayo moto wake mwokaji hana haja ya kuuchochea 2 kuanzia kukanda unga 2 hadi umekwisha kuumuka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3“Wanamfurahisha sana mfalme kwa maovu yao, 2 wakuu wao kwa uongo wao. 1
5Katika sikukuu ya mfalme wetu 2 wakuu wanawaka kwa mvinyo, 2 naye anawaunga mkono wenye mizaha. 1
Cross References
Jeremiah 5:7“Kwa nini niwasamehe? 2 Watoto wenu wameniacha na kuapa kwa miungu ambayo si miungu. 1 Niliwapatia mahitaji yao yote, 2 lakini bado wamefanya uzinzi na kusongana katika nyumba za makahaba. 1
Jeremiah 9:2Laiti ningekuwa na nyumba 2 ya kukaa wasafiri jangwani, 1 ningewaacha watu wangu 2 na kwenda mbali nao, 1 kwa kuwa wote ni wazinzi, 2 kundi la watu wadanganyifu. 1
Hosea 4:12wa watu wangu. 1 Hutaka shauri kutoka kwa sanamu ya mti 2 nao hujibiwa na fimbo ya mti. 1 Roho ya ukahaba imewapotosha, 2 hawana uaminifu kwa Mungu wao. 1
James 4:4Ninyi wanaume na wanawake wazinzi, hamjui ya kwamba urafiki na dunia ni uadui na Mungu? Kwa hiyo mtu yeyote anayetaka kuwa rafiki wa dunia hufanyika adui wa Mungu.