The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 9 › Yeremia 9:2

Yeremia 9:2

Laiti ningekuwa na nyumba 2 ya kukaa wasafiri jangwani, 1 ningewaacha watu wangu 2 na kwenda mbali nao, 1 kwa kuwa wote ni wazinzi, 2 kundi la watu wadanganyifu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Oh that I had in the wilderness a lodging place of wayfaring men; that I might leave my people, and go from them! for they be all adulterers, an assembly of treacherous men.

In Context

1Laiti kichwa changu kingekuwa chemchemi ya maji 2 na macho yangu yangekuwa kisima cha machozi! 1 Ningelia usiku na mchana 2 kwa kuuawa kwa watu wangu. 1

3“Huweka tayari ndimi zao kama upinde, 2 ili kurusha uongo; 1 wamekuwa na nguvu katika nchi 2 lakini si katika ukweli. 1 Wanatoka dhambi moja hadi nyingine, 2 hawanitambui mimi,” 4 asema Bwana. 1

Read all of Yeremia 9

Cross References

Judges 2:10Baada ya kizazi kile chote kukusanywa pamoja na baba zao, kikainuka kizazi kingine baada yao ambacho hakikumjua Bwana, wala matendo yale aliyokuwa ametenda kwa ajili ya Waisraeli.

Psalms 55:7Ningalitorokea mbali sana 2 na kukaa jangwani, 1

Isaiah 59:3Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu 2 na vidole vyenu kwa hatia. 1 Midomo yenu imenena uongo, 2 nazo ndimi zenu zimenongʼona mambo maovu. 1

Jeremiah 5:1“Pandeni na kushuka katika mitaa ya Yerusalemu, 2 tazameni pande zote na mtafakari, 2 tafuteni katika viwanja vyake. 1 Kama mtaweza kumpata hata mtu mmoja tu 2 atendaye kwa uaminifu na kutafuta kweli, 2 nitausamehe mji huu. 1

Jeremiah 5:7“Kwa nini niwasamehe? 2 Watoto wenu wameniacha na kuapa kwa miungu ambayo si miungu. 1 Niliwapatia mahitaji yao yote, 2 lakini bado wamefanya uzinzi na kusongana katika nyumba za makahaba. 1

Jeremiah 12:6Ndugu zako, watu wa jamaa yako mwenyewe: 2 hata wao wamekusaliti; 2 wameinua kilio kikubwa dhidi yako. 1 Usiwaamini, ingawa wanazungumza 2 mema juu yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 9:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 9:1Yeremia 9Yeremia 9:3 →